Jinsi Ya Kusuka Twinkle Braids Bob Style | Perfect Bob Hairstyle| Protective Hairstyle|Trendinghair

Foreign

Highness Obedi: Wow that's good style ♥️

Reece Star: Now this the 1, that'll make me pay $300, and I know how to, do my own hair.

Divina Osoro: Shukran dada nimejifunza kitu kutoka hapo zidi kutupa mafunzo zaidi

true gal: Love this.

Winnie Kadii: Wow it so amazing

Mosh J7nior: Which type of braids did you use

Olivia Nalumansi: Great work dear. How many packets did you use

Michel Perez: Wow ❤️

Hellen's Beautycare & delicious food: Congrats very good job

Mombeki Abdul: Sijachelewa Sana jamani Nice job dia♥️

Everline Achieng: Woow ucn learn through ur page nice dar wonderful job ithought it was hard bt ithink icn try

Esther Wambua: Wow beautiful

Teresa Adhiambo: Thanks so much 4 the lesson

VESTINA NTEGA: Nzuri sanaa nina swali inatumika bunda ngapi kwa hiyo style

Mary Atieno: Woow

Hawa Mansaray: Wow so amazing

Salmah Eid: Thanks much tunajifunza sanaaa

Emily Mushila: Smart

Charles Wilnise: Very nice

Noel Jesus: Waw beautiful

Noel Jesus: Waw beautiful

Husna Maulid: Kazi nzur

Hairstyle GalleryHQ:

Asunta nyamba: Asante MADAM nakupenda mnoo MUNGU AKUBARIKI SANA

George Milimo: Good job keep growing up I like it

Moses Beatrice: Nice madam

Frola Dickson: Nimeelewa sana God bless u

Binti Samwel: Asante dada nakupenda bure

Janeth Michael: Hapo kwenye stely unatwist kwakutumia Rasta au uzi

mercyline wangila: online training inafanyika pia. am from kenya

JENIFA LEONARD: Safi mno ,nakupenda sana dada Farida

Josephine Ngasoh: I Love it very beautiful

upendo cley: Dada umenifundisha mengi nikijifungua mwanangu Nampa Jina lako hujui tu navokupenda

fefenails and makeup: Asante saaana Farida mwaaah

Aneth Materu: Na unafundish jinsi ya kutengeneza dred?

Agripina Nocha: Barikiwa sana

Collette Mauridi: Haki nimekuwa interested na hiyi Chanel yane , please can you add in your group.

Grace Kaji: We bint Mungu akuweke zaidi tunajifunza mengi kwako

Tabitha lusenga: Issues ya mafunzo wa mikoani je mna hostel kwa ajiri ya wanafunzi wenu

Nasra issa: Allah azid kukupa ujuzi zaid

Melissa Williams: Can you speak English?

Adela james James: Inashngp kwa bunda moja

Cecilia Mwacharo: Niulize Farida mtu anaeza tumia Uzi mnene au wool kuset hiyo style bdala ya hiyo nywele umetumia

Selina Mtumbuka1: Nzur San Lkn naomb mnifundish Jin's ya kusuk utumbo

KISURA BEAUTY: Naomba ufundishe kusuka nywele ya kisura

Angel Joseph: Iyo unayowekea kwenye wey ni rasta ya kawaida au

Esther Wambua: Niko Kenya nani atanitengeneza jamani?

lissa abdi: mm sijawlewa apo akiweka sindano mara ya kwanza anavuta kile kimdomo cha rasta then up mkia nauweka kwenye nn ndo sijaelewa

Carolina Robert: Jamniiii mbunda ngap

Nasra Fredilick beshemeleza: Good mamytutafikatu tufundishe kubana vidotivitatu mabutu yanjia tatu

Nasra Fredilick beshemeleza: Good mamytutafikatu tufundishe kubana vidotivitatu mabutu yanjia tatu

Nalicious Heroine: Kama nywele ni fupi inakuaje

Elizabeth Wairimu: Hii nywele haipo kenya

Doro Kawish: Mmi nigpeda kujiuga na hyo chuo

imakulata kway: Wasus

Elibit Kaapus: Na hilo mafuta ni kipi

You May Also Like
More Information

Leave Your Response