Jinsi Ya Kusuka Classic Knotless Na Kuzibana |Knotless Tutorial

In but m okay, bye,

FARIDA OTHMAN: DARASA LA MWEZ WA TANO LIPIA MAPEMA TUNA MAMBO MAZURI KWA AJILI YENU TUNATOA MAFUNZO YA UREMBO (COSMETOLOGY na HAIRDRESSING) MAFUNZO YETU NI KWA VITENDO na THEORY... Bado Tunaendelea kupokea wanafunzi wa DARASA LIJALO LITAANZA 03/05/2021 JIUNGE NA MAFUNZO YETU..(Gharama ya Fomu ni elf 10,000 tu) TUNATOA MAFUNZO YAFUATAYO 1.✨ HAIR DRESSING ✅ Kusuka Nywele mitindo mbalimbali ✅Kubond na kushonea weaving ✅Kutengeneza Dred ✅Kubana Mywele mitindo mbalimbali ✅Hair treatment (kuosha,kuseti,kuweka dawa n.k) ✅Kutengeneza vibanio✅Jinsi ya kutunza nywele n.k 2.✨ BEAUTY THERAPY ✅ Kupamba maharusi (Bridal makeup) ✅Simple makeup ✅Full makeup ✅Kufunga vilemba ✅Kubana nywele kwa maharusi ADA YA HAIRDRESSING NA BEAUTY THERAPY NI LAKI TATU (300,000) MUDA MIEZI MITATU NOTE:::: AJIRA NI UHAKIKA BAADA YA KUMALIZA MAFUNZO 3✨ COURSE YA MWEZI MMOJA ✅Makeup na kilemba✅Full makeup na simple makeup ✅Kubana nywele kwa maharusi ADA YAKE NI LAKI MOJA NA NUSU (150,000) Muda MWEZI MMOJA 4.✨ MAKEUP NA KILEMBA Ada yake ni 100,000 Muda mwezi mmoja ✨✨✨✨✨ MAHITAJI YA MWANACHUO::::✨✨ 1.Tshet 15,000 2.Nywele/Rasta za mazoezi ,Uzi n.k 3.Makeup brush set -20,000 @makeup_storetz 4.Daftari mbili 5.Uniform( sare ni shati blue bahari,sketi,suruali ni dark blue) 6.HOSTELI ZIPO KWA MNAOTOKA MIKOANI AU MNAOTOKA MBALI GHARAMA YAKE NI 100,000 Kwa mwezi (Unapata huduma za muhimu Kitanda, maji,Godoro,Umeme vyote unavipata) miezi mitatu ni 300,000 Chakula unanunua canteen Note: Hostel zetu zina mazingira mazuri na yenye usalama TUPO TEGETA AZANIA KUJIUNGA NASI WASILIANA NASI 0657292650 @farida_makeup_artist @farida_makeup_artist @farida_makeup_artist Muda wa Darasa Asubuhi::: 4:00 had sa 9:00 Jioni ::: 9:00 had sa 12:00 MAFANIKIO HUANZA NA UTHUBUTU CHUKUA HATUA SASA KWA WOTE WANAOSOMA KWETU AJIRA NI YA UHAKIKA TUNAKUTAFUTIA KAZI BAADA YA MAFUNZO Mafunzo yetu ni kwa jinsia zote WANAWAKE NA WANAUME PIA USIKOSE KUTEMBELEA PAGE YETU YA YOUTUBE GUSA LINK KWA BIO YANGU Kindly SUBSCRIBE https://youtu.be/40lNlId1zgA MAFUNZO YETU NI ENDELEVU

Ivonne Odhiambo: Thnx so much i have learned a lot pls show me how to do short weave for beehive

Carolina Robert: Ewaaaaaaaa this is what I needed, thanks madam Farida

Emmy John: Napenda tufundishe na kushonea wiving ya croja

Moses Beatrice: Thanks madam tunaomba utufundishe jinsi ya kushonea kroja

Naomy Godwell: Woow nzuri sana

mary mfugale: Kila siku nazidi kujifunza yaani..asante dada..binafsi naomba utume video inayofundisha jinsi ya kubana knotless hasa kile kidoti kinakuwa kama kimepandiana (sijui kinaitwa kidoti cha ngazi ngapi)

Zawadi Mkumbo: Unafundisha vizuri sana Mungu akubariki binafsi kila siku naongeza ujuzi

sherlyne momi: Asante kwa kushare...naomba utuonyeshe insi yaju fix weave both short na long

Jamillah Lukwamba: waooooo ♥️

Yuster Peter: Nimependa natamani kujua kusuka sijui hata nywele za mkono

Poline Kinya: Hata sijui niliiendea nn shule juu you are actually my teacher najifunzanga na ww thank you darling

ester madinda: Kila sikuu naongeza kitu kipya na ujuzi unaongezeka kwaajili yako Dada anguu Asante Barikiwa sanaa

cecy mugisha: Apo kwenye kuongeza farida sielew Mana namuona anaiweka anasuka kwa juu Kisha kuelekea chin

tausi hamissi: Nimependa

Happy Sarara: Kazi nzuri Sana ongera . Ni mafuta gani unatumia au ni jeli ya aina gani my ningependa kujua

Nasra issa: Mungu azid kukutunza dia kazi nzuri sanaaa

Fatuma Rashidi: Uko vizur na mungu akubariki

Babra Mgaya: Nawapenda jmn natamn nijue Kama nyinyi I really love u drs

Jacob Lulenga: Dada nataman Sana kuja kusomea hapo kwako

Saumu Athuman: Nice job tunajifunza mengi sn

Romy husebius: Nice

Pili Juma: Nawapenda sana

Queenshila Patric: Ninzuri nimeelewa

Dorcas Asha: Hi farida asante sana napenda darasa lako ila niko arusha hongera sana. Maajaliwa nikipata per a nitakuja kujifunza.

Stacy woka: Vipi ,,,nawezaje jiunga nanyi kujifuza kusuka

Joan Akinyi: Shukran Dada umbarikiwe

Grace Faida: Waoooooo

Tin TV: Laki tatu kwa miezi mitatu vp na hostel shingap?

Phyillice Nyambura: Nimependa

Eudo Anthony: Hizi nywele nilikuwa naangaika kweli jinsi gani nizisuke Leo nimepatia

Samirah Mohammed: Nimeenda sana dada

eliza lilumba: Dada mnapatikana wapi ??

Skewa Phaidoni: Nakukubar madam wa mim

Ameena 12: Nice

Yuster Peter: Japo najua vingine hila kusuka natamani sana

Viviane john: Nywele nzur Sana

Hadija Msakuzi: Ndo kwanza nimeanza kukufatilia nitaweza kwakweli

Afizath Sadath: Mamy me naanzisha saluni but sijui kusuka nywele ya lasta nifanye nn

Jennah Yahaya: Mim kusokota najua lkn jinsi ya kuunga nashindwa rasta inaonekna nilipoungia

Ales Makasi: Nzuri

Rose dess: Asante ubarikiwe sana

Vanesa Kanunga: Nzuri mno

vailet peter: Niceee Utupe video jinsi ya kubanaa

Mary Pradius: Unafundisha vizuri sanaa, nahitaji kujifunza kwa vitendo, nataka kijua gharama za hostel kwa muda wa hiyo miezi mitatu nipo mkoani

Rehema Hamisi: Hello.plz niunge kwa whatsup group nataka kusomea online.niko Kenya

Raphael James: Jaman mimi mkono wangu mzito kugeuza lakini nitajua kwa kuwa nina nia

Fransisca Ngomuo: Unafanya vema Sana Mimi napenda mnoo Arusha Amna branch

KING JOHN: Dada upo vizur

Tatu Rajabu: Mashahlla

Sabrina Juma: Hivi dada unaweza ukachukua miez miwili ukalipia maana mm sipo tz nataka nije nikae miez miwili vp naweza lipia miwili alafu nikaondoka au ni had ulipie mitatu

Stompy Munene: Waw

Lilian Peter: Ni nzur saana ila hapo kwenye kuongeza akisha ongeza anavyoisukia ile aloongeza ndo sijaona vizur mkono wake ulikua unazikinga kidogo

Edina Edson: Asant kwa somo hili nimejinza na mimi

Lolo: Kusuka ni shngapi nataka kuja kusuka knotless?

Joyce JOSHUA JAPHET: Wowooo jamani tataka kujifunza mnapatikana wapi

Elisabeth Kadhe: Ni buzuri sana

LEE'S FAMILY: Link ya WhatsApp iko wapi?

Felister Erasto: Umetishaaa

Gloria Dunstan: Mnapatikana wapi nije kusuka jamani ziko poa

almas kicmba: Je nikihitaji kuja kusuka kam hivyo ni bei gan..?

Mariam Shaibu: Nimepnda.sana.nitakja tuombe uzima. My napnda Sana aunaga kazi mbovu

Viviane john: Naomba link ya group wahtspp

Ruler: kusuka vipipi nifundishe

Benjamin Mhehwa: Dada umetisha

Mariam Godfrey: Mwiba wa samaki dada

issac mosses: Eti ni bei gani na UK wapi

Furaha Tarimo: Habar samahani naomba kuuliza una darasa online tofaut na youtube

Mariam Kinunu: Utumbo wauzi

jestina giyupa: Kubana kwakuziban hap juuu alafu unazungusha katikati nywele kidg inakuadje

jestina giyupa: Kwani unatumia mafuta yeyote au jeli

Pili Juma: Natamani kujua nana yakuweka kari

oliver opper: Me naomb kuuliz,,,ukitak kumsuk mtu knotless ni jelly gn inafaa kutumika??

Hadija Issaa: Nataka kujifunza kibutu cha yebo

Eudo Anthony: Me Niko mwanza nitawezaje kupata mafunzo yako???nataka makeup na kubana nywele style mengine najua

Ester Mahita: Upo vizr kwa darasa

Dainess asifiwe: Unaweza ukaanzia jery chini??

Dorothea Mwashilemo: Nywele Kali balaaa

Grace Benedictor: Nataka nijue hiyo nywere Zaid Bado sijaerewa

Tausi Amri: Asante my

Joxeh Philip: Jmn da Frida, Mimi nashindwa jmn kusuka njia tatu ilonyooka jmn

Fatuma Kunguru: Nitaleta mrejesho nimelewa

Faraja Florence: Nataka nijue hizo notres

Rose dess: Asante ubarikiwe sana

Mary Moshi: Samahan dad farida huw unatumia mafut gan wakat wa kusuk knotless

Glory Valerian: Wakati unasuka chini unasuka njia tatu au

Tamasha Nzowa: Ni aina gani ya mafuta yanatumika dear

ayubu samweli: Ukizi Suka zinakaa mdagan

Joseph Joseph: Nzr sana

Saida Ramadhan: dodoma mpo wapi chuo chenu

Jay Fashion: Mm nataka kujifunzaa utumboo npo moro

Elina Sanka: Hakuna group la WhatsApp

Fatuma Chakapu: Nataka kujifunza notresi

happy Daniel: Kusuka ni sh gap??

Wema Xhabani: Jmn mm nmejarbu kumsuka mtu inakua na mawimb hapo napokua naongeza rasta jmn nifanyeje

Labani Makangila: Habari dada farida

Mandu Luiz: Bunda ngap käumia?

Sigmanta Shirima: Nahitaji darasa la WhatsApp

Khadija Suleyman: Naomba link ya group la watsapp

Carolina mrema: samahani dada farida mm naomba unionyeshee vizuri hapo unapoanza na nywele ya mtu

You May Also Like
More Information

Leave Your Response