Try This Method Micro Curly Braids Tutorial | Jinsi Ya Kusuka Micro Curly Braids/ How To Make Curly

Muna Leonie: The results is beautiful

Anipha Mkenye: Asante sana najifunza,mbele umesuka yebo au vibutu pote

ROSEMARY MAKARIUS: Very nice

Lucy Kiwango: Thanks mumy hapa kwenye wimbi tu umenisaidia ubarikiwe

stella nkwela: ❤️❤️

LOPEZ JOLIE: FRIDA YOU ARE BEAUTIFUL GORGEOUS LADY OF EAST AFRICA

Ameena 12: hongera daa farida mwenyezi mungu azidi kukupa neema na baraka katika kazi yako

Martha Lucas: Farida mungu akubariki sana akupe maisha marefu mnooo

Annette Felix: Kupitia wewe nmejfunza mengi sana dada

Neema Makau: Nzuri sana

Joyce Mwezi: Unatumia Rasta za kawaida?

CARO LYNN: Hi,naomba bei ya makeup nikiwa kenya hapa

Jesca John: Farida ubarikiwe mpenzi najifunza vingi sana kwako

Namithalie Mendes: Beautiful

Consolata Mligo: nimeielewa sana

Celestine Sheba: Kazi nzuri.....naomba bei ya makeup bag kwa shilingi ya Kenya

Zenice Njau: Mambo Farida naipenda kazi zako nani naomba nijifunze kutoka kwako Mimi ni fundi wa kushona je nitawezaje kutumia yutubu jinsi unavyo Fanya Ili niitangaze biashara yangu Mimi ninafundisha pia wanafunzi ila sijui jinsi ya kutumia mtandao kukuza biashara yangu help me

Hellen A Oscar: Dah ila Farida cjui MUNGU alikupa moyo wa namna gani, kwakweli uishi sana dear

Agnes Meshack: Uko vzr Sana madam ukweli hakuna Kama ww

Aisha Kama: Hongera madam wng ww ni mfano wa kuigwa

Olivia Joseph: Mimi madam Farida naomba umifundishe jinsi ya kukata mistari ya zigzag

King Cool 254: Hiyo ni pisi ya kawada?

Beatrice Yulli Chalamila: Jamani iyo unayompaka ya mwishoni nini mpenzi tutajie plz

Miriam Mbayo muteba: Jambo Farida,nikomugeni APA Darsalam karioka ni nakufata youtube na taka kusuka

Yusta Mollely: nataka kujifunza jamn au mpaka ninunue kwanza

Shance Peter: Hiyo ni rasta gani da farida

Sheila Lusasu: Laki tatu in Kenya n how much

Zubeda Mathias: Unaweza kukausha kweny diray

Schola channel 158 Cheptoo: Itachukuwa pieces ngapi??

Nuru Hamadi: me naitaj nakupataje

DADAZ SQUAD: https://youtu.be/yCD9KhrHiHQ ''jinsi ya kubana uke''

Fatma Amani: Mbona haijikunji Sana kma wee mm nmejaribu

Hellen A Oscar: naomba link ya kijiunga na Whatsapp group

Camila Pyuza: Hiyo bei sas huku mtaani jamani ata kwa elf 50 hawasuki dah hii kitu upate sehem nzuri lakin huku kitaa dah kwenye bei mtihani sana

Florah Ndonyalo: Naomb link ya wasap

imelvin Juma: Farida yaani natamani nikuwe karibu na wewe

Florah Ndonyalo: Hostel na ada ni sh ngp

You May Also Like
More Information

Leave Your Response