Jinsi Ya Kuweka Dawa Ya Kalikiti Au Curly |How To Apply Curly

Share subscribe, bye,

FARIDA OTHMAN: HI LOVE MKO POA NITARUDIA MAFUNZO YA KUWEKA DAWA YA KALI NA NITAJIBU COMMENT ZETU COZ MASWALI YAMEKUWA NI MENGI SO JIANDAE KWA AJILI YA TUTORIAL KUANZIA STEP 1 hadi STEP 3

Tukupasya Leonard: Hapo kwenye kuziosha baada ya kuzikausha unaziosha zikiwa na rollers?

Jesca Deogratias: Dah! Hki kitu nimetafuta sana siku nyingi kujua bila mafanikio. Asante sana sana Farida.

ZAWADI MGALA: Farida mm kwa nilivyosoma comment za watu mbalimbali za watu na za kwako jinsi ya kuweka curly Step1.naweka nywele dawa (cold wave) Step2.nafunga nywele rolas nikiishamfunga rolas anakausha nywele kwa dryer au jua ndani ya dakika 40 Step3. Naosha hizo nywele kwa maji ya kawaida zikiwa kwenye roler Step4. Baada ya kuosha nampaka hizo nywele neutralize anakaa nayo kwa dakika 15 namuosha then after anausha nywele kwa jua au dryer zikiishakauka. Namtoa rolar anakua amedamshi tayari sijuii mpaka hapo nimekuelewa?

Nuru Rashid: Ukishaosha dawa nakuspray unaeza kausha na drier?

Sudy Sanga: Sister nilikua nauliza nimeona baada ya kuweka rollers ukasema unatakiwa ukaoshe ila sijajua utaosha nywele zikiwa na rollers?

Marie Omary: Ety Dada, samahani na nywele za dawa zinafaa?

Hawa Sesala: Ninefurahia hili somo kiukweli..je ukishaweka dawa kinachofuata ni hiyo spray tu ?

Hellen Nyaki: Je kwa nywele ndogo zaidi ya izi amazon hazifai kueka rollers

Happiness Makombe: Unapoacha ikauke humuweki mteja kwenye dryer au unamuweka maana sijaelewa inakaukaje

zuleikha suleiman: wow ni nzuri nimependa

Moniceriz derick: Inakauka bila kumweka kwenye Drayer??

Jenipher Exavery: Dada hizi lora inawezekana kuzitumia kupata mawimbi kwenye Nywele za dawa ya kawaida

Thabitha Kaluguru: Asante Sana kwa mafundisho, nywele inakauka bila kukaa kwenye Drayer wakati ulipomfunga loras?

FARIDA OTHMAN: JAMANI KWA WALE AMBAO HUWA MNA COMMENT SANA NA KU SHARE VIDEO ZETU plz naomba kutambua uwepo wako nikuunge kwa group letu la whatssp... Hakikisha umeshare video zetu

Yuster Kayombo: Naomba kujua aina nyingine ya dawa za curry tofauti na hiyo,huenda nisiipate Kama hiyo je nyingine ni kama zipi?

phyner de mirrow: Nakupenda sana we dadaasante kwa daraasa

Mun Euros: Iyo dawa uliyoweka, ina maana badae nywele zinakua relaxed au znabaki natural?

Winnie David: Ahsante Sana dadaa Mungu akubarki kwa mafunzo mazur

Hellen Nyaki: Je kwa nywele ndogo zaidi ya izi amazon hazifai kueka rollers

Yuster Kayombo: Baada ya kuweka rola je anakaa kwenye drayer ili kukauka au hakai?

Mariam Kate: Dada Habali yako Naomba Kujifunza Jinsi ya kuweka Dawa ya Kalikiti

Zainabu Abasi: Asante dada unafundisha vizuri

Debrycious shining point: Je hii dawa ikiisha kwenye nywele je zinaweza kurudi kuwa natural kama zaman??

Veron Vera: sorry madam ukiweka kwenye nywele yenye dawa haiwez kukata nywele?

Renah Nanyojo: Asante Dada unafundisha vizuri

Pendo peter: Hii dawa ya curl ukipata nywele zinabaki kua natural au?

Vummy Kweka: Kwahyo hauioshi baada ya kupaka dawa??

Genofeva Grayson: so pretty

Faustina Kusekwa: Asante kwa video nzuri

Esther Jonas: Thank you

Agness Martin: Thank you farida

Nasra issa: Nimeipenda aisee

Magreth Ngusulu: Zinakauka bila kukaa kwenye drayer

Beatrice Ulomi: Curl siku izi lazima uoshe kwanza ndio ufunge lolazi na ukiweka newrolize Ni 15dk unaiosha aitakiwi kubaki kweny nywel

Lwova Tito: What's kalkiti in English

Elizabeth Andrew: Ntakuja dada nmependa uko vzuri

MAUWA LIDYA: Jambo dada nauliza je ukiweka iyo step namb 3 utakiwi kuzihosha tena nywele?

Brandy Ruto: Na lolazi ya curl naomba unielekeze vizuri jinsi ya kufunga

Grace Mushi: Baada ya kuweka dawa haiingii kwenye stima

Faraja Paul: Maswali yamekuw mengi dada .sisi tusiojua kabisa tunashndw kuelew

Neema Sapiyo: Nice

Queen September: Mtu mwenye relaxed hair anafaa kubadili kwenda kwenye curl?

Maryam Fakhi: Nice

Hopu Alex: Nashukuru Dada nimejifunza

Mariam Mwasha: Hz product ulizotumia mbona hujatuonyesha vzr? Naomb jitahid majina yake nikanunue plz

Elizabeth Daniel: Hongera dada nimeelewa hilo somo

Pendo Justin: Oyoooooooooooooooo thanks my dear

Stella Eliah: Na bei za rorazi je na arusha napataje?

Fatuma Issa hongera: Kwa maana ni dawa yoyote au dawa maalum

Mugisha Sandrine: Vizuri napenda

Mkunde Marandu: Naomba kuuliza hi dawa ya Carl unaosha?maana hapa nimeona unaweka dawa then rola sijaelewa mi mgeni kwenye hli soma

Joyce John: Asante mpenzi ila sijaelewa unafunga rolas nywele ikiwa na dawa alafu ukae kwenye draya au inakuaje

Winnie David: Dada Mungu akubarki mnoo Sasa cjaelewa baada ya kuweka kari unaosha Kwanza ndo uweke Lora au huoshi

Jennifer Maiseli: Hyo curl hua ainguzi naona km rola zinafungwa kabla ya kuosha au sio,naomba kueleweshwa hapo

Merry Lameck: Dada farida plz naomba jibu ukiweka dawa unafunga rolas pamenichanganya kidogo, unatoa rolas alafu unaosha ama unaosha na rolas??

Pendo Bugalama: Nyie mnaweka dawa beigani

Marry Patrick: Samahani Dada dawa hii inakuza nywele?

Agnes Mbemba: Naomba kujua bei ya kuweka curl ikiwa ndo mara ya kwanza na pia kuweka curl kwa mara nyingine

Smart Beauty:

Patricia Peter: Samahan dada unaweka rola nywele ikiwa na dawa

Victor Anangisye: Asante sana

Jema Sabibi: Umesema unaosha

Edna Rajabu: Kwa nywele ya dawa iliyootea haifai?

Mwanamkasi Omari: Mimi nimependa na nithitji hizo rollar

Yuster Kayombo: Hii dawa kichwani inakaukia tu hewani au kwenye drayer?

Zainab Mlimbo: Samahani dada umemkausha huyomteja kwenye draya?

Josephine dowela: Ukiweka dawa uoshi

Godwin Godfrey: Ukishaweka dawa ukafunga rolas unaosha nywele ikiwa na rolas zake ?

Pendo Kaaya: Sijaelew namana ya kuosha

Sudy Sanga: Samahani hizo rollers unaweka kabla hujaosha dawa ulioweka mwanzo

Isabela Adeleke: Lakini mbona ukuonyesha unavyoziosha na kukausha?

Vanessa John: Nywele unafunga rollers kabla ya dawa kutolewa

S. Furaha Sophie .Official: Nataka kuhuliza ukishaweka Cali yako inabidi kuwa nanyunyuzia maji kila mara ao?

winnie braidstz: unaacha ikauke yenyew au unamweka kwenye dryer

Brandy Ruto: Kama nywele ambayo ina dawa ila imeota unawekaje curl

Winfrida Boniface: Dawa uliyopak n dawa ya kawaida km sofrefree au inadae yake

Ivyonne Kapinga: Naomba kuuliza Farida inamaana nywele inawekwa rollers ikiwa bado haijaoshwa na kutolewa hio dawa?!

Julieth Tuyele: Samahan sijaelew nywel zinaoshwa zikiw kwenye Lola?

Glory Khalifa: Ukiweka iyokalikiti uwoshi

Faraja Paul: Umejua kunifurahish asbh asbh dada..

Esther Ngulu: Wakat anafunga rola wakat huo bado hajaosha dawa

Brandy Ruto: Kwa iyo ukiweka dawa nywele aiyoshwi ama maana sijaelewa

Nadia Abdallah Salim: Ahsanteee

Elizabeth Daudi: Asant mafunzo mazur sana.pia naomba utuonyeshe namna ya kutoni mawiving samahan

Zuhura Ally: Kwahiyo unaacha ikauke bila kuweka kwenye draya

Faustina Kusekwa: Dfarida ukimaliza kuweka rola unaosha hivyo hivyo alafu ndio unàkausha

Simone Mussa: Mmmh inamaana hii kalikiti ukishamaliza kuiweka na ukaikausha unatakiwa tena kuiosha

Happy Magige: Je Ni lazima kutumia Lola izo au zozote

Veronica Wanza: Nice Farida naomba kujua jinsi ya kushuka mkeka

Lizy heroine: Mbona umeweka step 2 tyuuu

Fatuma alphan: Eti zinaoshwa zikiwa na rolaz zake

Juliana Lwoga: Hii step Ni fupi....Mi nawekaga kali Ila huwa ina steps nyingi sana hadi kumaliza...Mara kusponge au kuna diff procedure

Emerance Makanda: Ukitaka kuosha unaosha n'a maji ya vugu vugu ao ya baridi?

Jenister Paul: Nywele yenye dawa inafaaa kuweka kalikiti?

Faraja Owden: Mimi sijaelewa hapo unaosha ikiwa kwenye roras bado

Sabina Mkwama: Kwahy dda nywele unaziosha kwanza af ndy unawekA dawa?

Rachel Chansa: Dawa gani unatumia

Abdallah Juma: Naomba kuuliza ina maana unaikausha kwa draya ikiwa na dawa

Annajoyce Deogratius: Da farida ili somo halijaeleweka maswali yamekiwa mengi tunaomba liludiwe

You May Also Like
More Information

Leave Your Response