Easy Way Of Making Wigband | Headbandjinsi Ya Kutengeneza Headband Ya Weaving Mpya Ya Mrembo

Fau Bene: ni nzuri San ningependa kujifunza jinsi ya kutengeneza kibanio cha bambucha

Teresiah maina: i love your teachings but ningependa unifunze kusuka ghanians tafahali

Dorah Charles: Nimeenda nzuri saana

Meshack Shedrack: Ahsante sana dada mpenz, weaving ya mrembo,,,,mungu akubariki sana ...leo umetumia na kingerezaa tunakoelekea ni kuzuri sana

Rehema mussa: Kapendeza sana

Vivian john: Dada samahanii tuoneshee vizr ulivounga kitambaa

fefenails and makeup: Nampenda modo wako jmn

Mumba Faraji:

JOYCE MALULU: Asante saaaaaan mpenz mungu akuzidishie jmn mm kupotia channel yako walah najifunza ving saaaaaan na naelewa na namake kitu mwaaaaaaaah yaaaan nmetengeneza ii imetoka sweeet

Salma Othman:

Gift Chansa: Woow

Faraja Mwalyego: Mzuri mnoo

Aysha Hussen: ❤️

monica nyirenda: Dada farida I need this headband upo ap maana mi jipo tanga naipataje

Nunu Konga: Hii dada farida naomba video nyingine jinsi yakukikata hicho kitambaa Cha kuweka hapo mbele

Miriam Tutorial: Wow beautiful ntajaribu

Julieth Kimario:

Carolina Robert: Asanteeee dear

Felister Erasto:

Ebinely Benson: Thank you

Sabina Mkwama: Ni nzur sana asante dda hapo umetumia gel gan mbna nzur san

Peace Perfect:

Nasra issa: Swafiii

Tabu Shabani: Nzuri

Veronica Peter: Asante my ❤️

Mariam Sanga: Nzur sana

Subira Mhando: etty huwezi sukia bila kuwa na huo mdoli madam

JENIFA LEONARD: Hiyo weaving sh ngp?

Meshack Shedrack: Silali hadi mimesoma kwa dada mpenz wetu ,.. Naomba pls utusaidie kufundisha kupaka rangi za kucha

Paulina Assenga: Hio midoli.inauzwa wapi

Zainabu Hassan: Nzuri sana nimependa,naomba kufahamu hy midori inabei gan dada

Tolérance Kaseya: Nivizuri saaaaana

Martha Otimali: ivi iko kiribon mbel ya kofia vinapatikan wap

jasmin baby: Muko wapi mutu akitaka kusuka

stella mwiguti: Samabn dada naomb kuuliza Hicho kitambaa unachoshonea mbele kinatakiwa kiwe kinavutika Kama kofia ya elf moja au ilimradi kitambaa tuu samabn lkn

Shani Rajab: Hap kweny kushonea naez weka vikofia viwili?

Joseph Marlene: O waw

Mary Lukas: Hiyo kofia ya mbele ulikunja au

Joselyn Shirati: Nitajaribu hii

Rahmah Cute: Ni nzury sana❤❤

Neema Bernard: Me nataka kununua nitumie namba za cm kipenzi

Sarah Khamese Tz: Dah kzur mnoo

Nasra Fredilick beshemeleza: Tutaelewa tu

You May Also Like
More Information

Leave Your Response