Kutengeneza Headband Wig Ya Rasta/#Diy Braidedheaband Wig#Kisura #Vivianatz #Beginerfriendly

Hello dear , Asante kwa kubonyeza video hii,leo nitakuonesha jinsi ya kutengeneza Headband wig ya rasta za kisura kwa hatua rahisi sana / diy quick and easy braided Headbandwig .

Naitwa Viviana karibu saana kwenye channel hii ambayo itakuwezesha kujifunza namna ya kusuka mitindo mbali mbali ya nywele hata kwa wasio jua kusuka kabisa , utajifunza pia kupaka makeup za aina mbali mbali, kutunza nywele asilia , mitindo ya mavazi ,utambuzi wa bidhaa nzuri na bora za urembo na mengi yanayohusu urembo.

Kupitia video zangu za mafunzo ya urembo wengi wamejipatia ujuzi na kufungua biashara zao binafsi za Salon ,pia wengi wameweza kujisuka wenyewe ,karibu nawe katika familia yetu ya urembo .

NEW VIDEO / VIDEO MPYA ?

Mara mbili kwa wiki

PROUCT USED / BIDHAA NILIZOTUMIA

TIZAMA VIDEO NYINGINE BONYEZA LINK HAPO CHINI / PRESS LINK FOR MORE

KUTENGENEZA KIBANIO CHA AFRO PUFF/ DIY AFRO PUFF DRWAW STRING

PONYTAIL

https://youtu.be/WvbBrol2GKM

KUBANA NYWELE FUPI NZIGA STYLE (Natural hair style Nziga)

https://youtu.be/U-130piUuG8

KUSUKA RASTA ZA MABUTU YA KUANZIA CHINI

https://youtu.be/O64enUyKeQg

KUSUKA AFRO KINKY NJIA RAHISI

https://youtube.com/playlist?list=PLTP...

KUSUKA DISTRESS LOCS KUTUMIA SELFIE + PASSIONTWIST

https://youtu.be/-km-nytd5jQ

KUBANA NYWELE FUPI HAKUNA MATATA STYLE (Short natural hair Hakuna matata)

https://youtu.be/XXuv7E27kqE

KUSUKA CROCHET YA KUTYMIA RASTA ZA 1500/=

https://youtu.be/zU5_4tc-8fE

MAKEUP FOR BEGINNERS

https://youtube.com/playlist?list=PLTP...

MITINDO YA MAVAZI/ TRY ON HAUL FASHION

https://youtube.com/playlist?list=PLTP...

MAFUNZO YA MAKEUP / MAKEUP TUTORIALShttps://youtube.com/playlist?list=PLTP...

MAFUTA MAZURI YA NGOZI / SKIN CARE PRODUCTS REVIEW

Business inquiries/ Mawasiliano kwa ajili ya biashara

Email ; [email protected]

Karibu tuwe marafiki nifollow kupitia

INSTAGRAM ; https://instagram.com/vivianatz.offici...

Asante kwa kutizama video hii, karibu ujiunge nami katika mafunzo haya kwa kubonyeza alama ya Subscribe na alama ya kengele ili kuwa mmoja wa familiahii na kupata taarifa kila ninapoweka video mpya ya mafunzo.

Oh, let us get started um for pictures, bye, bye,

ABIGAIL IFEOMA: I'm so stuck to your channel even when I don't understand what you say you inspired me alot. Thank you ❤️ and please what camera are you using?

sabra ally: ❣️

DYNESY MKANYIPELELE: Thanks sister Vivian but mdoli kama huo ni bei gan, nahitaji pia

Patricia Zakaria: Nzur sana

husna adam: Nakupenda Yani ivo tu

Grace Mamuu: Vivian naommba unijibu Leo nipate Raha Hua nakufuatilia sana nikitaka hizi nywele nazipataje? Niko Nairobi Kenya

GLADNESS LYIMO: Samahani mimi naomba mawasiliano yako tafadhali dada Vivian.

Hope Now: Ahsante kpenz naomba kujua aina ya camera unayotumia kurecod au n sm ya aina gan

katheryn: Wow ni nzur jmn .je huwa unauza pia

Florence Kambe: Here early

Amina Nurudini: Yaan Leo had I nmekosa cha kusema

You May Also Like
More Information

Leave Your Response